MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA ASUBUHI; UKIWASIKILIZA WENGINE, HUTAPATA UTULIVU…
“He who always listens to what other people say about him will never find inner peace.” – Leo Tolstoy Kama mara zote unasikiliza kile ambacho watu wanasema kuhusu wewe, hutaweza kuyaishi maisha yako. Utaishia kuishi maisha ya wengine na hilo halitakupa utulivu unaohitaji kwenye maisha. Hakuna mtu mwingine anayeyajua maisha