MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1894; Ya Nini Kulowa Leo?
Kama mvua itanyesha kesho, haina msaada wowote kulowa leo. Badala yake unaweza kuitumia leo kufanya maandalizi bora ya kesho, ili mvua inaponyesha, usilowe. Tumekuwa tunaruhusu mambo ambayo hayajatokea yatuumize, na baadaye mambo hayo huwa hayatokei kama tulivyotegemea. Usikubali hofu ya jambo lolote linaloweza kutokea kesho ikusumbue leo. Chagua kuiishi leo,