MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1895; Kama Hutaacha Kufanya…
Hebu fikiria ni kitu kikubwa kiasi gani unachoweza kutengeneza kama hutaacha kufanya. Fikiria kama utaweka kazi kwenye biashara yako kila siku bila kuacha hata siku moja, ni biashara kubwa kiasi gani ambayo utaijenga. Fikiria kama utafanya mazoezi kila siku bila kuacha, ni afya bora na mwili imara kiasi gani ambao