MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1901; Muujiza Usio Muujiza…
Kuna vitu vingi vinatokea kwenye maisha yetu na tunafikiri ni miujiza au bahati mbaya, lakini siyo, ni vitu ambavyo tumevitengeneza wenyewe au tumeruhusu vitokee kwa kujua au kutokujua. Mfano mtu anapojikuta kwenye madeni au amefilisika, hili halitokei kama muujiza au ajali, bali hatua za kifedha ambazo mtu huyo amekuwa anachukua