MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1902; Kuishi Maisha Marefu…
Kinachotuponza tusiyafurahie maisha yetu ni kujidanganya sisi wenyewe. Tumekuwa tunajidanganya kwenye mambo mengi, ambayo kama tusingefanya hivyo, tungepata nafasi ya kuyaishi maisha yetu vizuri na kuyafurahia. Moja ya maeneo ambayo tumekuwa tunajidanganya ni kwenye urefu wa maisha, huwa tunajiambia tunataka kuishi maisha marefu. Tunahangaika na mambo mengi ya kurefusha maisha.