MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1903; Kama Unataka Watu Wakupe Umakini Unaostahili, Fanya Hivi…
Kama umekuwa unajikuta kwenye hali ambayo watu hawakupi umakini unaostahili, unajua ni jinsi gani unaumia. Labda ni kwenye kazi yako, unafanya kazi ambayo ni nzuri sana, lakini watu hawaijali kama unavyoijali wewe. Unakazana kuboresha biashara yako, kwa kutoa huduma bora sana kwa wateja wako, lakini bado wengi hawathamini kile unachofanya.