MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA ASUBUHI; WAPE WENGINE, LAKINI USIJIPE WEWE…
“Forgive other people for many things, but do not forgive yourself anything.” —PUBLILIUS SYRUS Kama kuna urahisi wowote unaoweza kuutoa kwenye maisha, basi wape watu wengine urahisi huo, ila usijipe wewe mwenyewe. Wasamehe wengine kwa makosa wanayofanya, lakini usijisamehe mwenyewe mpaka pale umerekebisha ulichokosea. Waruhusu wengine wajipe sababu ya kutokufanya