MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1905; Tayari Kipo Ndani Yako…
Chochote unachotaka kwenye safari yako ya mafanikio, tayari kipo ndani yako. Kama unataka mtu wa kukusifu na kukupa moyo wa kuendelea na safari hiyo, hivyo vitu vipo ndani yako. Ni wewe kuangalia ulikotoka na ulipo sasa na kutambua hatua ulizopiga kisha kujisifu na kujipa moyo wa kuendelea kujituma zaidi ili