MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1907; Rahisi Kuja, Rahisi Kuondoka…
Kuna kanuni ya asili, ambayo iko wazi kabisa lakini huwa tunashindwa kuiangalia na hata kuitumia katika kufanya maamuzi yetu ya kila siku. Kanuni hiyo ni urahisi au uharaka wa kitu, unapima pia urefu wa maisha yake. Labda tuanze na mfano. Ukipanda mbegu ya mchicha inaota ndani ya siku 3, ndani