MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1911; Jipe Muda Wa Kuhofia…
Hakuna binadamu asiye na hofu, Hofu ni sehemu yetu wanadamu, ndiyo kitu pekee kinachotufanya tuendelee kuwa hai. Siku ambayo utaondoa kabisa hofu zote ulizonazo, ni siku ambayo utakuwa kwenye hatari kubwa. Hofu ni njia ya akili zetu kutuambia tunapaswa kuwa makini zaidi na kitu kwa sababu kuna madhara makubwa mbeleni.