MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1912; Umejiunga Kwenye Foleni Ipi?
Upo kwenye sherehe na wakati wa kupata chakula umefika. Kuna sehemu mbili za kuchukua chakula, sehemu moja ina vyakula vya kawaida ambavyo kila mtu anavipenda na sehemu nyingine ina vyakula vya kipekee ambavyo wewe ndiyo unavitaka. Uko na marafiki zako kwenye sherehe hiyo, mnaongea mengi na mna wakati mzuri. Sasa