MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1915; Wataondoka Kama Walivyokuja…
Kuwa makini sana na kile unachokitegemea kwenye maisha yako, maana unakipa nguvu kubwa kwenye maisha yako. Chochote kile unachokitegemea ndiyo kinachoyatawala maisha yako. Kile unachotegemea kikuinue na kukupandisha juu, ndiyo hicho kicho kitakachokushusha na kukuangusha. Kama upendeleo wa wengine ndiyo umekupandisha wewe juu, jua pia upendeleo huo utakapoondolewa ndicho kitakachokuangusha