MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1916; Ni Kama Vile Hakuna Kifo…
Ukiangalia jinsi ambavyo watu wanaendesha maisha yao, unaweza kushawishika labda wamehakikishiwa hakuna kifo, wataishi milele. Kwa sababu utawaona wakifanya mambo ambayo hayana mchango wowote kwenye maisha yao, wakiyafanya kwa adabu na uaminifu kama vile ndiyo kitu muhimu zaidi kwao kufanya. Utawakuta watu wanafanya kazi ambazo hawazipendi, kwa zaidi ya miaka