MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1918; Subiri Uone…
Sisi binadamu tuko vizuri na haraka sana kwenye kuhukumu. Na hukumu zetu za haraka ni NZURI au MBAYA. Kwa kila jambo linalotokea, kwa haraka sana tunaliweka kwenye kundi moja kati ya makundi hayo mawili, NZURI au MBAYA. Kama kitu kinaendana na tunavyotaka tunasema ni kizuri, kama hakiendi tunavyotaka tunasema ni