MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1924; Orodha Ya Vitu Vya Kutokufanya…
Tumejifunza sana kuhusu umuhimu wa kuwa na orodha ya vitu ambavyo unapanga kufanya kwenye siku yako. Orodha hiyo unaipanga kulingana na kipaumbele cha kitu, kisha unaifuata katika kuiendesha siku yako. Hii ni nzuri na muhimu. Lakini licha ya kuwa na orodha hii, bado kuna mambo huwa yananyemelea na kuchukua muda