MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1925; Kipaji Na Ujuzi…
Unazaliwa na kipaji, unajifunza ujuzi. Hivi ni vitu viwili muhimu sana unavyohitaji kwenye safari yako ya mafanikio. Kuna wale wanaozaliwa na vipaji, na kufikiri hivyo pekee vinawatosha bila ujuzi, hawa huwa wanashindwa na wenye ujuzi ila wasio na kipaji kama chao. Na kuna wale ambao wanazika vipaji vyao na kukazana