MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1926; Cha Muhimu Ni Kazi…
Utakapoanza kufanya kazi yako, kwa viwango ambavyo umejiwekea wewe mwenyewe ili uweze kufikia mafanikio makubwa, utawakaribisha wengi ambao watakuja kwako na mambo mbalimbali. Wapo ambao watakukatisha tamaa kwamba kazi unayoifanya haiwezekani, wakikutaka ufanye tu kawaida, kwa sababu hakuna anayeweza kuelewa hicho unachofanya. Kuna ambao wataenda mbali zaidi na kuhakikisha wanakukwamisha