MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1929; Kitendawili Cha Mafanikio…
Kabla hujafanikiwa, unaamini kwamba mafanikio ni kujumlisha, yaani kuwa na vitu vingi zaidi, hivyo unapambana ili kupata vingi uwezavyo. Unapofanikiwa, unagundua kwamba mafanikio ni kutoa, yaani kuwa na vitu vichache ambavyo ni muhimu, unavithamini kweli na vina maana kubwa kwako. Kabla hujafanikiwa unaamini unapaswa kufanya kila kazi au biashara inayokuja