#TAFAKARI YA ASUBUHI; KIKWAZO KIKUU NI HOFU…

By | April 12, 2020
“Fear defeats more people than any other one thing in the world.” —Ralph Waldo Emerson Hebu fikiria ni mambo gani ungekuwa umefanya na hatua zipi umepiga mpaka sasa kama usingekuwa na hofu? Biashara ambayo umekuwa unajiambia utaianza miaka mingi ungeshaianza tayari. Vitu vipya ambavyo umekuwa unatamani kuvifanya kwa muda mrefu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: #TAFAKARI YA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz