MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1932; Mwisho Wa Matatizo Yote…
Maisha ni sawa na kusukuma jiwe kwenda juu ya mlima. Ukisukuma linaenda, ukiacha kusukuma linarudi chini. Kama unatafuta njia ya kumaliza matatizo yote kwenye maisha yako rafiki yangu, unajidanganya, haipo njia hiyo, wala hakuna mwenye uwezo huo. Mwisho wa matatizo yako yote ni pale utakapokufa. Kadiri unavyokuwa hai, matatizo hayatakosekana.