MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA ASUBUHI; BORESHA IMANI YAKO…
“If you want to be quiet and strong, work and improve your faith.” – Leo Tolstoy Maisha hayajawahi kuwa nyoofu, Japo unapanga nini unataka, Na kuweka hatua za kuchukua ili kupata unachotaka, Na kufanyia kazi hatua hizo kama unavyopaswa, Siyo mara zote utapata unachotaka, Na hapo ndipo jaribu kuu. Wengi