MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA ASUBUHI; MATESO NI NJIA…
“Mankind has never achieved greatness but through suffering.” — F. ROBERT DE LAMENNAIS Mateso ni njia ya kuelekea kwenye ukuu. Hakuna mtu yeyote amewahi kufikia ukuu kwenye maisha yake bila kupitia mateso. Na kadiri mtu anavyotaka kupata makubwa kwenye maisha yake, ndivyo mateso yake yanakuwa makubwa zaidi. Chuma huwa inapitishwa