MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1938; Tatizo Siyo Kushindwa, Bali Uadilifu…
Kabla hujafikia mafanikio makubwa kwenye maisha yako, utashindwa mara nyingi sana. Swali ambalo utakuwa nalo ni je watu wataendeleaje kukuamini ikiwa unashindwa? Na jibu liko wazi, watu hawakuamini kwa kushinda au kushindwa kwako, bali watu wanakuamini kwa uadilifu ulionao. Kama wewe ni mwadilifu, hata ushindwe mara ngapi, watu watakuamini, kwa