MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA ASUBUHI; USIPOTEZE IMANI…
“Whatever happens, do not lose faith. Nothing bad can happen to you as a human being.” – Leo Tolstoy Haijalishi nini kimetokea kwenye maisha yako, usipoteze imani. Hakuna kitu chochote kibaya kinachoweza kutokea kwako kama binadamu. Hakuna kitu kinachotokea ili kukuumiza au kukukomesha. Kila kinachotokea, kinakuja kwako kwa lengo la;