MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1943; Usiwape Nguvu Ya Kukukwamisha…
Kama unataka kufanikiwa, lazima uijue saikolojia ya binadamu. Bila ya ujuzi huu muhimu, utakwama kwenye mambo mengi mno. Moja ya vitu vya kujua kuhusu saikolojia ya binadamu ni wivu. Pale unapofanya jambo jipya na kubwa ambalo wengine hawajawahi kufanya, wataingiwa na wivu. Hivyo watafanya kila namna kuhakikisha huendelei kufanya au