MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA ASUBUHI; MATOKEO YA KUWALAUMU WENGINE…
“A bad mood is often the reason for blaming others; but very often blaming others causes bad feelings in us: the more we blame others, the worse we feel.” – Leo Tolstoy Kuna mambo mbalimbali huwa yanatokea kwenye maisha yetu, mambo ambayo hatukutegemea yatokee. Mambo hayo yanapotokea, huwa tunajisikia vibaya,