MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1945; Usalama Pekee Ulionao Kwenye Kipato…
Kipindi cha nyuma, ajira hasa za serikalini zilionekana ndiyo usalama pekee wa kipato ambao mtu anaweza kuwa nao. Mtu alikuwa akipata ajira serikalini, ilikuwa ni uhakika mpaka siku anakufa. Hivyo kupata ajira hizo ilikuwa ni tiketi ya kuwa na uhakika wa kipato mpaka siku unakufa. Lakini kwa sasa hali haipo