MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA ASUBUHI; SIYO BAHATI WALA AJALI, BALI NI KAZI…
“Progress is not achieved by luck or accident,” Epictetus said, “but by working on yourself daily.” Kupiga hatua kwenye maisha yako hakutokani na bahati wala ajali, Bali ni matokeo ya kazi ambayo unaiweka. Na kazi hiyo siyo ya siku moja halafu unaacha, Bali kazi unayoweka kila siku. Viungo muhimu hapo