MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1948; Wenzako Wanauza Bei Rahisi Kuliko Wewe…
Kwenye biashara ya huduma, ambapo unafanya kitu cha kipekee kwa wateja wako na kuwataka wakulipe kiasi kizuri cha wewe kuweza kufanya hivyo, hawakosekani watakaotaka wakulipe kiasi kidogo kuliko unavyotaka wakulipe. Na sababu pekee watakayoitumia ni kwamba kuna wenzako ambao wanauza huduma kama zako kwa bei rahisi kuliko wewe. Sasa unaposikia