MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1950; Nguvu Nyingi Lakini Kazi Sifuri…
Kisayansi (fizikia) kazi inakuwa imefanyika pale nguvu inapokuwa imewekwa kwenye kitu, na kitu hicho kikasogea. Hivyo kama nguvu imewekwa mahali lakini kitu hakijasogea, hakuna kazi iliyofanyika, hata kama nguvu iliyotumika ni kubwa kiasi gani. Mfano kusukuma ukuta, haijalishi umesukuma kwa nguvu kiasi gani, hata kama umetokwa na jasho jingi, kama