MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1954; Kuhusu Kesho…
Hakuna yeyote mwenye uhakika ya kwamba kesho inakuwaje. Hata watabiri ambao wamekuwa wanapatia mara nyingi, bado anachotabiri leo kuhusu kesho hakina uhakika wa asilimia 100. Kuna vingi huenda vimetabiriwa huko nyuma na vikatokea, lakini kuhusu kesho, hakuna mwenye uhakika. Lakini pia hata pale mambo tunayotabiri yatatokea yanapotokea, madhara yake huwa