MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1955; Kama Inafanya Kazi, Endelea…
Tuna kasumba kama binadamu ya kupenda kubadili vitu pale vinapokuwa vinafanya kazi vizuri na kung’ang’ana navyo pale vinapokuwa havifanyi kazi. Ni kitu kisichokuwa na manufaa kabisa, lakini huwa tunahangaika sana kukifanya. Na ni kwa kuwa huwa tunapata uchoshi (boredom) pale tunaporudia kufanya kitu kile kile kila siku. Chukua mfano umeanzisha