MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1956; Hilo Siyo Jukumu Lako…
Kila mtu anajua vitu gani sahihi kwa wengine kufanya, ila hakuna anayejua anachopaswa kufanya yeye. Hivyo ni rahisi kushauri na hata kukosoa wengine, kuliko kujijengea nidhamu ya kufanya kile unachopaswa kufanya. Leo ni muhimu kujikumbusha yapi majukumu yetu na yapi siyo majukumu yetu. Jukumu lako ni kufanya kile kilicho sahihi,