MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1958; Unahitaji Kuwa Chini Ya Mtu Mwingine…
Kabla ya kuja kwa mfumo rasmi wa elimu, yaani hii elimu ya darasani, elimu ilikuwa ikitolewa kwa mtu kufanya kazi chini ya mbobezi kwenye kile anachotaka kujifunza. Kuba baadhi ya taaluma mpaka sasa zipo hivyo. Mfano ulipotaka kuwa fundi, basi ulifanya kazi chini ya fundi, ambaye tayari ana ujuzi mkubwa.