MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1959; Aina Tatu Za Urafiki…
Mwanafalsafa Aristotle alisema kuna aina tatu za urafiki. Moja ni urafiki wa matumizi, hapa watu wanakuwa marafiki kwa sababu kuna kitu ambacho kila mmoja ananufaika nacho kwa mwingine, yaani kila mmoja anamhitaji mwingine kwenye kile anachofanya. Mfano mzuri ni urafiki kwenye kazi au biashara, ambapo watu wanakuwa marafiki kwa sababu