MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1961; Kama Ungepaswa Kufanya Sasa, Ungekubali?
Changamoto kubwa tunayokutana nayo kwenye maisha yetu ni kushindwa kuweka vizuri vipaumbele vyetu. Kila mmoja wetu ana udhaifu kwenye hili, unajikuta umepanga au kukubali kufanya vitu vingi kuliko uwezo wako au muda ulionao. Tumeshajifunza sana dawa ya hili, ambapo ni kutumia neno HAPANA mara nyingi uwezavyo. Yaani pale unapokutana na