MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TuvukePamoja; Maisha na covid 19.
Kama ambavyo nimekuwa nashirikisha mara kwa mara, na kama ambavyo taarifa mpya zinaonesha, ugonjwa huu wa covid 19 utachukua muda kuondoka. Na mategemeo ya kuondoka kwa ugonjwa huu ni pale dawa au chanjo itakapopatikana, kitu ambacho kinakadiriwa kuchukua siyo chini ya miezi 18. Hivyo tunapaswa kujifunza kuendelea na maisha katika