MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1962; Kusema Na Kuhukumu…
Ukitaka kuwa na maisha tulivu, usiseme kila unachojua na usihukumu kila unachoona. Ni asili yetu binadamu kusema kila tunachojua na hili limekuwa linatuingiza kwenye matatizo makubwa. Hasa pale unaposema kwa wale ambao hawapo tayari kupokea kile ambacho umewaambia, au wale ambao hawawezi kuking’amua. Hivyo kabla hujasema kila unachojua, jiulize kama