MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1963; Usalama Wa Kazi Kwenye Biashara…
Watu wengi wanapenda kuajiriwa kuliko kujiajiri wenyewe au kufanya biashara. Hii ni kwa sababu ajira huwa zinaonekana zina usalama mkubwa kuliko kujiajiri au biashara. Kipindi cha nyuma hilo lilionekana lina ukweli ndani yake, lakini sasa linaonekana wazi kwamba siyo sahihi, usalama wa ajira unaweza kuonekana kwa nje, lakini ndani siyo