MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TuvukePamoja; EPUKA HALI HASI…
Kwa kile tunachopitia sasa, jukumu kubwa ulilonalo ni kuepuka kabisa hali yoyote ambayo ni hasi. Kama kuna watu ukiongea au kuwasiliana nao wanaongea mambo hasi na kulalamika jinsi mambo yalivyo magumu, acha mara moja kuongea au kuwasiliana nao. Kama kuna vyombo vya habari au vipindi ambavyo ukifuatilia unakutana na taarifa