MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TuvukePamoja; UTARATIBU WA KUIENDESHA SIKU (ROUTINE)
Katika wakati huu ambao tunapitia changamoto kubwa, kila mmoja anahitaji mfumo bora wa kuendesha maisha yake. Mfumo ambao hautakwamishwa na chochote kile. Moja ya vitu vitakavyokusaidia sana kwenye kuziishi siku zako vizuri, Ni kutengeneza utaratibu wa siku yako ambao utauishi kila siku. Utaratibu huo unaitwa ROUTINE. Hapa unapangilia jinsi ambavyo