MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1967; Maoni Yako Kuhusu Jua Kuchomoza Kesho…
Una maoni gani kuhusu jua kuchomoza kesho? Ni swali ambalo mtu akikuuliza huwezi hata kupoteza muda wako kujisumbua nalo. Kwa sababu unajua haijalishi ni maoni gani unayo, jua litachomoza kesho kama ambavyo limekuwa linachomoza. Kunaweza kuwa na wingu ambalo litakuzuia usilione jua moja kwa moja, lakini uwepo wa mwanga utajua