MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1968; Masikio Yako Ni Dhahabu…
Kama kuna kitu ambacho kinaweza kukusaidia sana lakini unakichukulia poa basi ni masikio yako. Masikio yako ni dhahabu, ni hazina inayoweza kukupa chochote kile unachotaka. Hii ni kwa sababu, kila mtu huwa anaeleza wazi kile ambacho anataka au kutegemea kupata. Hivyo kama utakuwa mtu wa kusikiliza vizuri, utawaelewa watu vizuri