MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1969; Unajua Mimi Ni Nani?
Hili ni swali ambalo hupaswi kumuuliza yeyote, wala halipaswi kukusumbua. Kwa asili yetu binadamu, huwa tunakimbilia kuuliza swali hili pale wengine wanapokuwa hawatupi uzito ambao tunaona tunastahili kupewa. Pale wengine wanapokuwa hawatuheshimu kama tunavyotaka watuheshimu. Kitu ambacho tunashindwa kuona ni kwamba, kuuliza swali hilo hakusaidii chochote. Kama watu hawakujui wewe