MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1972; Usijipime Kwa Matokeo…
Njia rahisi na ya uhakika ya kushindwa ni kujipima kwa matokeo unayopata. Kwa njia hii utashindwa kwa sababu ni mara chache sana utapata matokeo ambayo unategemea kupata. Mara nyingi utapata matokeo ambayo hukutegemea kupata. Na kwa kuwa kipimo chako ni matokeo, basi utajiona umeshindwa na hutaendelea tena kufanya. Njia sahihi