MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1975; Maswali Yasiyo Na Msaada Kwenye Tatizo Lako…
Kuna tatizo au changamoto ambayo unapitia, ndiyo, kila mtu kuna wakati anakuwa kwenye hali hiyo. Lakini kwa asili yetu binadamu, huwa tunakimbilia kujiuliza maswali ambayo hayana msaada wowote kwenye tatizo tunalokuwa tunapitia. Nini kimesababisha tatizo? Kwa nini mimi tu ndiyo nipate tatizo hili? Nani atakuwa amechangia mimi kupata tatizo hili?