MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA ASUBUHI; UNASUMBUKA KWA YASIYO MUHIMU…
“People strive in this world, not for those things which are truly good, but for the possession of many things which they can call their property.” – Leo Tolstoy Maisha yetu wanadamu yamejawa na kila aina ya vikwazo na changamoto. Kila wakati kuna kitu ambacho tunakabiliana nacho, Kitu kinachotunyima usingizi,