MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA ASUBUHI; UNAPODHANI UNAJUA, HUJUI.
“He who is looking for wisdom is already wise; and he who thinks that he has found wisdom is a stupid man.” —EASTERN WISDOM Yule aliye tayari kujifunza kila wakati ndiye mwenye hekima, Lakini yule ambaye anafikiri tayari ameshajua kila kitu ni mpumbavu. Ujuaji umewakwamisha wengi sana, Hasa kwa zama