MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA ASUBUHI; WATU UNAOPASWA KUJIHUSISHA NAO…
“Associate with people who are likely to improve you.” — Seneca Watu pekee unaopaswa kujihusisha nao, ni wale ambao wanaweza kukufanya uwe bora kuliko ulivyo sasa. Hawa ndiyo watu wanaoongeza thamani kwenye maisha yako, Watu ambao wanakupa nafasi ya kujifunza kitu kutoka kwao au kupata hamasa ya kupiga hatua zaidi.