MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1988; Kosa Siyo Kukosea, Bali Kutokujifunza…
Tulipozaliwa hatukuwa tunajua kitu chochote kwenye maisha, zaidi ya kulia na kunyonya. Mengine yote tunayojua sasa, tumekuwa tunajifunza. Na kwa kuwa hatujui, katika kujifunza kwetu tumekuwa tunakosea mara kwa mara na makosa hayo ndiyo yanatufanya kuwa bora zaidi. Hukusimama na kuanza kutembea moja kwa moja, bali ulianguka kabla hujajua jinsi